Post your loglines. Get and give feedback.
Baada ya kubabimbikiwa mkoba uliokuwa na dawa za kulevya, hatimae Bon Mtambo anagundua hivi sasa ana kazi moja tu; nayo ni kuufuatilia na kuufuta kwenye uso wa dunia mtandao mkali unaojihusisha na huma nchini